Kuna njia moja tu ya kumaliza janga hilo: Pamoja Wakati ulimwengu unakimbilia kukomesha janga hili, hakuna nchi inayoweza kulikomesha ikiwa peke yake. Tufanye kazi pamoja ili nchi zote zishiriki chanjo kwa usawa kote ulimwenguni. #PamojaTu Usiruhusu habari potofu kuteka hisia zako Chanjo zinafanyaje kazi?