Ukosefu wa usawa unatishia uwezo wetu wa kumaliza janga hilo Utoaji wa chanjo za COVID-19 haufikii nchi zilizo katika hatari zaidi haraka vya kutosha. Lazima tuunge mkono juhudi ya chanjo ulimwenguni kote, #PamojaTu tunaweza kulikomesha janga hili. Usiruhusu habari potofu kuteka hisia zako Chanjo zinafanyaje kazi?