Chanjo ni matumaini yetu bora zaidi ya kumaliza janga hilo la COVID-19. Mchakato sahihi wa majaribio huchangia chanjo salama na yenye ufanisi. Usiruhusu habari potofu kuteka hisia zako Chanjo zinafanyaje kazi?