Chanjo zinafanyaje kazi? Chanjo ni matumaini yetu bora zaidi ya kumaliza janga hilo la COVID-19. Lakini zinafanyaje kazi kikweli? Usiruhusu habari potofu kuteka hisia zako Chanjo zinafanyaje kazi?