Jilinde mwenyewe na uwalinde wengine dhidi ya COVID-19 Tunapopumua tunatoa matone yanayoonekana kwa hadubini yanayoitwa erosoli, ambayo yanaweza kubeba COVID-19. Jikinge. Usiruhusu habari potofu kuteka hisia zako Chanjo zinafanyaje kazi?